John 11:34
Akauliza, “Mmemweka wapi?” Wakamwambia, “Bwana, njoo upaone.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And said, Where have ye laid him? They said unto him, Lord, come and see.
In Context
Cross References
Matthew 28:6Hayupo hapa, kwa kuwa amefufuka, kama vile alivyosema. Njooni mpatazame mahali alipokuwa amelazwa.
Mark 16:6Yule malaika akawaambia, “Msistaajabu. Mnamtafuta Yesu, Mnazareti, aliyesulubiwa. Amefufuka! Hayuko hapa. Tazameni mahali walipomlaza.
John 20:2Hivyo akaja akikimbia kwa Simoni Petro pamoja na yule mwanafunzi mwingine ambaye Yesu alimpenda, na kusema, “Wamemwondoa Bwana kaburini, na hatujui walikomweka!”