Mark 16:6
Yule malaika akawaambia, “Msistaajabu. Mnamtafuta Yesu, Mnazareti, aliyesulubiwa. Amefufuka! Hayuko hapa. Tazameni mahali walipomlaza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 105:3Lishangilieni jina lake takatifu, 2 mioyo ya wale wamtafutao Bwana na ifurahi. 1
Matthew 12:40Kwa maana kama vile Yona alivyokuwa ndani ya tumbo la nyangumi + 12:40 Nyangumi ni samaki mkubwa sana. kwa siku tatu, usiku na mchana, vivyo hivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika moyo wa nchi siku tatu, usiku na mchana.
Matthew 28:4Wale walinzi wa kaburi walimwogopa sana, wakatetemeka hata wakawa kama wafu.
Mark 9:9Walipokuwa wakishuka kutoka mlimani, Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote mambo waliyoona, mpaka Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka kutoka kwa wafu.
Luke 24:4Walipokuwa wanashangaa juu ya jambo hili, ghafula watu wawili waliokuwa wamevaa mavazi yanayongʼaa kama umeme wakasimama karibu nao.
Luke 24:46Akawaambia, “Haya ndiyo yaliyoandikwa: Kristo atateswa na siku ya tatu atafufuka kutoka kwa wafu.