John 11:36
Ndipo Wayahudi wakasema, “Tazama jinsi alivyompenda Lazaro!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then said the Jews, Behold how he loved him!
In Context
Cross References
John 14:21Yeyote mwenye amri zangu na kuzishika ndiye anipendaye, naye anipendaye atapendwa na Baba yangu, nami nitampenda na kujidhihirisha kwake.”
2 Corinthians 8:8Siwaamrishi, lakini nataka kujaribu unyofu wa upendo wenu kwa kuulinganisha na bidii ya wengine.
Ephesians 5:25Ninyi waume, wapendeni wake zenu, kama vile Kristo alivyolipenda Kanisa akajitoa kwa ajili yake
1 John 4:9Hivi ndivyo Mungu alivyoonyesha pendo lake kwetu: Mungu alimtuma Mwanawe wa pekee ulimwenguni, ili tupate uzima kupitia kwake.