John 11:46
Lakini baadhi yao wakaenda kwa Mafarisayo na kuwaambia mambo Yesu aliyoyafanya.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But some of them went their ways to the Pharisees, and told them what things Jesus had done.
In Context
Cross References
John 5:15Yule mtu akaenda, akawaambia wale Wayahudi kuwa ni Yesu aliyemponya. 1 Uzima Kupitia Mwana
John 12:37Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.