The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 12 › John 12:37

John 12:37

Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But though he had done so many miracles before them, yet they believed not on him:

In Context

36Wekeni tumaini lenu katika nuru hiyo ili mpate kuwa wana wa nuru.” Baada ya kusema haya, Yesu aliondoka, akajificha wasimwone. 1 Wayahudi Waendelea Kutokuamini

38Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: 1 “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?”

Read all of John 12

Cross References

Matthew 11:20Ndipo Yesu akaanza kushutumu miji ambamo alifanya miujiza yake mingi kuliko kwingine, kwa maana watu wake hawakutubu.

John 1:11Alikuja kwa walio wake, lakini wao hawakumpokea.

John 15:24Kama sikuwa nimefanya miujiza ambayo haijapata kufanywa na mtu mwingine yeyote, wasingalikuwa na hatia ya dhambi. Lakini sasa wameiona miujiza hii na bado wakatuchukia mimi na Baba yangu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 12:37

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 12:36John 12John 12:38 →