John 12:15
“Usiogope, Ewe binti Sayuni; 2 tazama, Mfalme wako anakuja, 2 amepanda mwana-punda!”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Fear not, daughter of Sion: behold, thy King cometh, sitting on an ass’s colt.
In Context
14Yesu akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, 1
Cross References
Deuteronomy 17:16Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi zaidi, kwa maana Bwana amekuambia, “Hamtairudia njia ile tena.”
Judges 12:14Naye akazaa wana arobaini na wana wa wanawe thelathini waliopanda punda sabini. Akawa mwamuzi wa Israeli kwa muda wa miaka minane.
2 Samuel 16:2Mfalme Daudi akamuuliza Siba, “Kwa nini umeleta vitu hivi?” Siba akamjibu, “Punda ni kwa ajili ya watu wa nyumba ya mfalme kupanda, mikate na matunda ni kwa ajili ya watu kula, nayo divai ni kwa kuwaburudisha watakaochoka jangwani.”
Isaiah 35:4waambieni wale wenye mioyo ya hofu, 2 “Kuweni hodari, msiogope; 1 tazama, Mungu wenu atakuja, 2 pamoja na malipo ya Mungu, 2 atakuja na kuwaokoa ninyi.” 1
Isaiah 41:14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu, 2 ee Israeli uliye mdogo, 1 kwa kuwa Mimi mwenyewe nitakusaidia,” asema Bwana, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Micah 4:8Lakini kuhusu wewe, ee mnara wa ulinzi wa kundi, 2 ee ngome ya Binti Sayuni, 1 milki ya awali itarudishwa kwako, 2 ufalme utakuja kwa Binti Yerusalemu.” 1