John 12:14
Yesu akamkuta mwana-punda akampanda, kama ilivyoandikwa, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Jesus, when he had found a young ass, sat thereon; as it is written,
In Context
15“Usiogope, Ewe binti Sayuni; 2 tazama, Mfalme wako anakuja, 2 amepanda mwana-punda!”
Cross References
Zechariah 9:9Shangilia sana, ee Binti Sayuni! 2 Piga kelele, Binti Yerusalemu! 1 Tazama, Mfalme wako anakuja kwako, 2 ni mwenye haki, naye ana wokovu, 2 ni mpole, naye amepanda punda, 2 mwana-punda, mtoto wa punda. 1
Mark 11:1Walipokaribia Yerusalemu, wakafika Bethfage na Bethania katika Mlima wa Mizeituni. Yesu akawatuma wawili wa wanafunzi wake,