John 12:26
Mtu yeyote akinitumikia lazima anifuate, nami mahali nilipo ndipo mtumishi wangu atakapokuwa. Mtu akinitumikia, Baba yangu atamheshimu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 32:11‘Kwa kuwa hawakunifuata kwa moyo wote, hakuna mtu yeyote mwenye miaka ishirini au zaidi ambaye alikuja kutoka Misri atakayeona nchi niliyoahidi kwa kiapo kwa Abrahamu, Isaki na Yakobo;
Psalms 17:15Na mimi katika haki nitauona uso wako, 2 niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Proverbs 27:18Yeye autunzaye mtini atakula tunda lake, 2 naye amtunzaye bwana wake ataheshimiwa. 1
Matthew 25:21“Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache; nami nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!’
Luke 6:46“Kwa nini mnaniita, ‘Bwana, Bwana,’ nanyi hamfanyi ninayowaambia?
John 10:27Kondoo wangu huisikia sauti yangu nami nawajua, nao hunifuata,