Matthew 25:21
“Bwana wake akamwambia, ‘Umefanya vizuri sana, mtumishi mwema na mwaminifu! Umekuwa mwaminifu kwa vitu vichache; nami nitakuweka kuwa msimamizi wa vitu vingi. Njoo ushiriki katika furaha ya bwana wako!’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Chronicles 31:20Hivi ndivyo Hezekia alivyofanya katika Yuda yote, akifanya lile lililo jema, sawa na la uaminifu mbele za Bwana Mungu wake.
Matthew 10:40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.
Matthew 24:47Amin, nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Matthew 25:34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Luke 12:44Amin nawaambia, atamweka mtumishi huyo kuwa msimamizi wa mali yake yote.
Luke 22:28Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu.