John 12:3
Kisha Maria akachukua chupa ya painti moja + 12:3 Painti moja ni kama nusu lita. yenye manukato ya nardo + 12:3 Nardo ni aina ya mafuta yaliyokuwa yanatengenezwa kutokana na mimea yenye mizizi inayotoa harufu nzuri. safi ya thamani kubwa, akayamimina miguuni mwa Yesu na kuifuta kwa nywele zake. Nyumba nzima ikajaa harufu nzuri ya manukato.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 132:2Aliapa kiapo kwa Bwana 2 na akaweka nadhiri kwa Yule Mwenye Nguvu wa Yakobo: 1
Song of Solomon 1:3Manukato yako yananukia vizuri, 2 jina lako ni kama manukato yaliyomiminwa. 1 Ndiyo sababu wanawali wanakupenda! 1
Song of Solomon 4:10Tazama jinsi pendo lako linavyofurahisha, 2 dada yangu, bibi arusi wangu! 1 Pendo lako linafurahisha aje zaidi ya divai, 2 na harufu ya manukato yako zaidi ya kikolezo chochote! 1
Matthew 26:6Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,
Luke 7:37Naye mwanamke mmoja kwenye ule mji, ambaye alikuwa mwenye dhambi, alipojua kwamba Yesu alikuwa akila chakula nyumbani kwa yule Farisayo, akaleta chupa ya marhamu yenye manukato.
Luke 10:38Ikawa Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakienda Yerusalemu, akaingia kwenye kijiji kimoja ambapo mwanamke mmoja aliyeitwa Martha alimkaribisha nyumbani kwake.