The Bible Software
bible.softwareMatthewMatthew 26 › Matthew 26:6

Matthew 26:6

Yesu alikuwa Bethania nyumbani mwa Simoni aliyekuwa na ukoma,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Now when Jesus was in Bethany, in the house of Simon the leper,

In Context

5Lakini wakasema, “Isiwe wakati wa Sikukuu, kusitokee ghasia miongoni mwa watu.” 1 Yesu Anapakwa Mafuta Huko Bethania (Marko 14:3-9; Yohana 12:1-8)

7naye mwanamke mmoja akamjia akiwa na chupa ya marhamu yenye manukato ya thamani kubwa; akayamimina kichwani mwa Yesu alipokuwa ameketi mezani kula chakula.

Read all of Matthew 26

Cross References

Mark 11:12Kesho yake walipokuwa wakitoka Bethania, Yesu alikuwa na njaa.

Luke 7:37Naye mwanamke mmoja kwenye ule mji, ambaye alikuwa mwenye dhambi, alipojua kwamba Yesu alikuwa akila chakula nyumbani kwa yule Farisayo, akaleta chupa ya marhamu yenye manukato.

John 12:1Siku sita kabla ya Pasaka, Yesu alikwenda Bethania mahali ambako Lazaro aliyekuwa amefufuliwa na Yesu alikuwa anaishi.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Matthew 26:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Matthew 26:5Matthew 26Matthew 26:7 →