John 12:44
Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus cried and said, He that believeth on me, believeth not on me, but on him that sent me.
In Context
43Wao walipenda sifa za wanadamu kuliko sifa zitokazo kwa Mungu. 1 Amwaminiye Yesu Hatabaki Gizani
45Yeyote anionaye mimi, amemwona yeye aliyenituma.
Cross References
Proverbs 8:1Je, hekima haitani? 2 Je, ufahamu hapazi sauti? 1
Matthew 10:40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.
John 5:24“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.
John 11:43Baada ya kusema haya, Yesu akapaza sauti yake akaita, “Lazaro, njoo huku!”
1 Peter 1:21Kupitia kwake mmemwamini Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu na akampa utukufu, ili imani yenu na tumaini lenu ziwe kwa Mungu.