1 Peter 1:21
Kupitia kwake mmemwamini Mungu, aliyemfufua kutoka kwa wafu na akampa utukufu, ili imani yenu na tumaini lenu ziwe kwa Mungu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 42:5Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na
Jeremiah 17:7“Lakini amebarikiwa mtu ambaye tumaini lake ni katika Bwana, 2 ambaye matumaini yake ni katika Bwana. 1
John 3:34Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo.
John 12:44Yesu akapaza sauti akasema, “Yeyote aniaminiye, haniamini mimi peke yangu, bali yeye aliyenituma.
John 14:1Yesu akawaambia, “Msifadhaike mioyoni mwenu, mnamwamini Mungu, niaminini na mimi pia.
John 17:1Baada ya Yesu kusema haya, alitazama kuelekea mbinguni akawaombea na kusema: “Baba, saa imewadia. Umtukuze Mwanao, ili Mwanao apate kukutukuza wewe.