John 13:33
“Watoto wangu, mimi bado niko pamoja nanyi kwa kitambo kidogo. Mtanitafuta, na kama vile nilivyowaambia Wayahudi, vivyo hivyo sasa nawaambia na ninyi. Niendako, ninyi hamwezi kuja.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34“Amri mpya nawapa: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi, vivyo hivyo nanyi mpendane.
Cross References
John 8:21Yesu akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”
John 14:4Ninyi mnajua njia ya kufika ninakokwenda.” 1 Yesu Ndiye Njia Ya Kwenda Kwa Baba
John 16:16“Bado kitambo kidogo nanyi hamtaniona na tena bado kitambo kidogo nanyi mtaniona.” 1 Huzuni Itageuka Kuwa Furaha
1 John 2:1Watoto wangu wapendwa, nawaandikia haya ili msitende dhambi. Lakini kama mtu yeyote akitenda dhambi, tunaye Mwombezi kwa Baba: ndiye Yesu Kristo, Mwenye Haki.
1 John 5:21Watoto wapendwa, jilindeni nafsi zenu kutokana na sanamu. Amen.