John 13:38
Yesu akamjibu, “Je, ni kweli uko tayari kuutoa uhai wako kwa ajili yangu? Amin, amin nakuambia, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Proverbs 28:26Yeye ajitumainiaye mwenyewe ni mpumbavu, 2 bali yeye atembeaye katika hekima hulindwa salama. 1
Matthew 26:34Yesu akamjibu, “Amin, nakuambia, usiku huu, kabla jogoo hajawika, utanikana mara tatu.”
Mark 14:30Yesu akamwambia, “Amin, nakuambia; leo, usiku huu, kabla jogoo hajawika mara mbili, wewe mwenyewe utanikana mara tatu.”
Luke 22:34Yesu akamjibu, “Ninakuambia Petro, kabla jogoo hajawika usiku wa leo, utakana mara tatu kwamba hunijui mimi.” 1 Mfuko, Mkoba Na Upanga
John 16:31Yesu akawajibu, “Je, sasa mnaamini?
John 18:25Wakati huo Simoni Petro alikuwa amesimama akiota moto. Baadhi ya wale waliokuwepo wakamuuliza, “Je, wewe si mmoja wa wanafunzi wake?” Petro akakana, akasema, “Sio mimi.”