The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 22 › Luke 22:34

Luke 22:34

Yesu akamjibu, “Ninakuambia Petro, kabla jogoo hajawika usiku wa leo, utakana mara tatu kwamba hunijui mimi.” 1 Mfuko, Mkoba Na Upanga

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And he said, I tell thee, Peter, the cock shall not crow this day, before that thou shalt thrice deny that thou knowest me.

In Context

33Petro akajibu, “Bwana, niko tayari kwenda pamoja nawe gerezani na hata kifoni.”

35Kisha Yesu akawauliza, “Nilipowatuma bila mfuko, wala mkoba, wala viatu, mlipungukiwa na kitu chochote?” Wakajibu, “La, hatukupungukiwa na kitu chochote.”

Read all of Luke 22

Cross References

Matthew 26:74Ndipo Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui mtu huyo!” Papo hapo jogoo akawika.

Mark 14:71Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui huyu mtu mnayesema habari zake!”

John 18:27Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo. 1 Yesu Apelekwa Kwa Pilato (Mathayo 27:1-2, 11-14; Marko 15:1-5; Luka 23:1-5)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 22:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 22:33Luke 22Luke 22:35 →