John 14:11
Nisadiki mimi kwamba niko ndani ya Baba na Baba yuko ndani yangu, la sivyo, niaminini kwa sababu ya zile kazi nizitendazo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Matthew 11:4Yesu akajibu, “Rudini mkamwambie Yohana yale mnayosikia na kuyaona:
John 5:36“Lakini ninao ushuhuda mkuu zaidi kuliko wa Yohana. Kazi zile nizifanyazo, zinashuhudia juu yangu, zile ambazo Baba amenituma nizikamilishe, naam, ishara hizi ninazofanya, zinashuhudia kuwa Baba ndiye alinituma.
John 10:32lakini Yesu akawaambia, “Nimewaonyesha miujiza mingi mikubwa kutoka kwa Baba yangu. Ni ipi katika hiyo mnataka kunipiga mawe?”
John 12:38Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: 1 “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?”
Acts 2:22“Enyi Waisraeli, sikilizeni maneno haya nisemayo: Yesu wa Nazareti alikuwa mtu aliyethibitishwa kwenu na Mungu kwa miujiza, maajabu na ishara, ambayo Mungu alitenda miongoni mwenu kupitia kwake, kama ninyi wenyewe mjuavyo.