The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 12 › John 12:38

John 12:38

Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: 1 “Bwana, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani?”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

That the saying of Esaias the prophet might be fulfilled, which he spake, Lord, who hath believed our report? and to whom hath the arm of the Lord been revealed?

In Context

37Hata baada ya Yesu kufanya miujiza hii yote mbele yao, bado hawakumwamini.

39Kwa hivyo hawakuamini, kwa sababu Isaya anasema mahali pengine: 1

Read all of John 12

Cross References

Psalms 44:3Sio kwa upanga wao waliipata nchi, 2 wala si mkono wao uliwapatia ushindi; 1 ilikuwa ni kitanga cha mkono wako wa kuume, 2 na nuru ya uso wako, 2 kwa kuwa uliwapenda. 1

Isaiah 51:5Haki yangu inakaribia mbio, 2 wokovu wangu unakuja, 2 nao mkono wangu utaleta hukumu kwa mataifa. 1 Visiwa vitanitegemea 2 na kungojea mkono wangu kwa matumaini. 1

Isaiah 53:1Ni nani aliyeamini ujumbe wetu, 2 na mkono wa Bwana umefunuliwa kwa nani? 1

Matthew 16:17Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona, + 16:17 Bar-Yona ni neno la Kiaramu, maana yake ni Mwana wa Yona. kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.

John 15:25Lakini hii ni kutimiza lile neno lililoandikwa kwenye Sheria kwamba, ‘Walinichukia pasipo sababu.’

John 19:24Wakaambiana, “Tusilichane ila tulipigie kura ili kuamua ni nani atalichukua.” Hili lilitukia ili Maandiko yapate kutimizwa yale yaliyosema, 1 “Wanagawana nguo zangu, 2 na vazi langu wanalipigia kura.” Hayo ndiyo waliyoyafanya wale askari.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 12:38

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 12:37John 12John 12:39 →