John 14:18
Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
I will not leave you comfortless: I will come to you.
In Context
Cross References
Psalms 101:2Nitazingatia kuishi maisha yasiyo na lawama: 2 utakuja kwangu lini? 1 Nitatembea nyumbani mwangu 2 kwa moyo usio na lawama. 1
Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1
Lamentations 5:3Tumekuwa yatima wasio na baba, 2 mama zetu wamekuwa kama wajane. 1
Hosea 14:3Ashuru hawezi kutuokoa, 2 hatutapanda farasi wa vita. 1 Kamwe hatutasema tena ‘Miungu yetu’ 2 kwa kile ambacho mikono yetu wenyewe imetengeneza, 2 kwa kuwa kwako wewe yatima hupata huruma.” 1
Matthew 28:20nanyi wafundisheni kuyashika mambo yote niliyowaamuru ninyi. Hakika mimi niko pamoja nanyi siku zote, hadi mwisho wa nyakati.”
John 14:16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.