John 14:16
Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
15“Kama mnanipenda, mtazishika amri zangu.
Cross References
John 4:14Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika uzima wa milele.”
John 14:18Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.
John 15:26“Lakini atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, yaani, huyo Roho wa kweli atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.
John 16:22Hivyo ninyi mna maumivu sasa, lakini nitawaona tena, nayo mioyo yenu itafurahi na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
John 17:9Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
John 17:20“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao