The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 14 › John 14:8

John 14:8

Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Philip saith unto him, Lord, shew us the Father, and it sufficeth us.

In Context

7Kama mngenijua mimi, mngemjua na Baba pia. Tangu sasa, mnamjua Baba yangu, tena mmemwona.”

9Yesu akamjibu, “Filipo, nimekaa nanyi muda huu wote hata usinijue? Mtu yeyote aliyeniona mimi, amemwona Baba. Sasa wawezaje kusema, ‘Tuonyeshe Baba’?

Read all of John 14

Cross References

Exodus 33:18Kisha Mose akasema, “Basi nionyeshe utukufu wako.”

Job 33:26Humwomba Mungu, akapata kibali kwake, 2 huuona uso wa Mungu na kushangilia kwa furaha; 2 Mungu humrudisha katika hali yake ya uadilifu. 1

Psalms 63:2Nimekuona katika mahali patakatifu 2 na kuuona uwezo wako na utukufu wako. 1

John 1:43Siku iliyofuata Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”

John 12:21Hawa wakamjia Filipo, ambaye alikuwa mwenyeji wa Bethsaida huko Galilaya, wakiwa na ombi. Wakamwambia, “Tungependa kumwona Yesu.”

Revelation 22:3Katika mji huo hakutakuwa tena na laana, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamtumikia,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 14:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 14:7John 14John 14:9 →