John 1:43
Siku iliyofuata Yesu aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
44Basi Filipo alikuwa mwenyeji wa Bethsaida, mji alikotoka Andrea na Petro.
Cross References
Matthew 4:18Yesu alipokuwa anatembea kando ya Bahari ya Galilaya, aliwaona ndugu wawili, Simoni aitwaye Petro, na Andrea ndugu yake. Walikuwa wakizitupa nyavu zao baharini kwa kuwa wao walikuwa wavuvi.
Matthew 10:3Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;
John 1:28Mambo haya yote yalitukia huko Bethania, ngʼambo ya Mto Yordani, mahali Yohana alipokuwa akibatiza. 1 Yesu Mwana-Kondoo Wa Mungu
John 1:37Wale wanafunzi wawili walipomsikia Yohana akisema haya, wakamfuata Yesu.
John 6:7Filipo akamjibu, “Hata fedha kiasi cha dinari mia mbili, + 6:7 Dinari 200 ni sawa na mshahara wa kibarua wa siku 200; mshahara wa kibarua ulikuwa dinari moja kwa siku. hazitoshi kununua mikate ya kuwapa watu hawa ili kila mtu apate kidogo.”
John 14:8Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.”