The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 15 › John 15:1

John 15:1

“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

I am the true vine, and my Father is the husbandman.

In Context

2Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata, nalo kila tawi lizaalo, hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi.

Read all of John 15

Cross References

Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1

Song of Solomon 7:12Hebu na twende mapema 2 katika mashamba ya mizabibu 2 tuone kama mizabibu imechipua, 1 kama maua yake yamefunguka, 2 na kama mikomamanga imetoa maua: 2 huko nitakupa penzi langu. 1

Isaiah 4:2Katika siku ile Tawi la Bwana litakuwa zuri na lenye utukufu, nalo tunda la nchi litakuwa fahari na utukufu wa wale Waisraeli watakaonusurika.

Isaiah 27:2Katika siku ile: 1 “Imbeni kuhusu shamba la mizabibu lililozaa: 2

Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Jeremiah 12:10Wachungaji wengi wataliharibu shamba langu la mizabibu 2 na kulikanyaga shamba langu; 1 watalifanya shamba langu zuri 2 kuwa jangwa la ukiwa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 15:1

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
John 15John 15:2 →