John 15:2
Kila tawi ndani yangu lisilozaa matunda, Baba yangu hulikata, nalo kila tawi lizaalo, hulisafisha ili lipate kuzaa matunda zaidi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1“Mimi ndimi mzabibu wa kweli na Baba yangu ndiye mkulima.
3Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi.
Cross References
Job 17:9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao, 2 nao wale wenye mikono safi wataendelea kupata nguvu. 1
Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1
Isaiah 29:19Mara nyingine tena wanyenyekevu watafurahi katika Bwana, 2 wahitaji watafurahi katika yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli. 1
Malachi 3:3Ataketi kama mfuaji na asafishaye fedha. Atawatakasa Walawi, naye atawasafisha kama dhahabu na fedha. Kisha Bwana atakuwa na watu watakaoleta sadaka katika haki,
Matthew 3:12Pepeto lake liko mkononi mwake, naye atasafisha sakafu yake ya kupuria, na kuikusanya ngano ghalani na kuyateketeza makapi kwa moto usiozimika.” 1 Yesu Abatizwa (Marko 1:9-11; Luka 3:21-22)
Matthew 13:33Akawaambia mfano mwingine, “Ufalme wa Mbinguni unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 1 Sababu Ya Yesu Kutumia Mifano (Marko 4:33-34)