John 15:14
Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ye are my friends, if ye do whatsoever I command you.
In Context
13Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Cross References
Exodus 7:6Mose na Aroni wakafanya sawasawa kama vile Bwana alivyowaagiza.
1 Kings 4:5Azaria mwana wa Nathani: kiongozi wa maafisa wa wilaya; 1 Zabudi mwana wa Nathani: kuhani na mshauri binafsi wa mfalme; 1
2 Chronicles 20:7Je, si wewe, Ee Mungu wetu, uliyewafukuza wenyeji wa nchi hii mbele ya watu wako Israeli, ukawapa wazao wa Abrahamu, rafiki yako, hata milele?
Isaiah 41:8“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu, 2 Yakobo, niliyemchagua, 2 ninyi wazao wa Abrahamu rafiki yangu, 1
Ezekiel 12:7Basi nikafanya kama nilivyoamriwa. Wakati wa mchana nilitoa vitu vyangu nje vilivyofungwa tayari kwa uhamishoni. Kisha wakati wa jioni nikatoboa ukuta kwa mikono yangu. Nikachukua mizigo yangu nje wakati wa giza la jioni, nikiwa nimeibeba mabegani mwangu huku wakinitazama.
Luke 12:4“Nawaambieni rafiki zangu, msiwaogope wale wauao mwili, lakini baada ya hilo hawawezi kufanya lolote zaidi.