John 15:13
Hakuna mtu mwenye upendo mkuu kuliko huu, mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Greater love hath no man than this, that a man lay down his life for his friends.
In Context
12Amri yangu ndiyo hii: Mpendane kama mimi nilivyowapenda ninyi.
14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.
Cross References
John 10:15Kama vile Baba anavyonijua mimi, nami ninavyomjua Baba, nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
Ephesians 5:2mkiishi maisha ya upendo, kama vile Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.