John 16:13
Atakapokuja huyo Roho wa kweli atawaongoza awatie katika kweli yote. Yeye hatanena kwa ajili yake mwenyewe, bali atanena yale yote atakayosikia, naye atawaonyesha mambo yajayo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12“Bado ninayo mambo mengi ya kuwaambia, lakini hamwezi kuyastahimili sasa.
14Atanitukuza mimi, kwa maana atayachukua yaliyo yangu na kuwajulisha ninyi.
Cross References
John 3:32Yeye hushuhudia yale aliyoyaona na kuyasikia, lakini hakuna yeyote anayekubali ushuhuda wake.
John 8:38Ninasema yale niliyoyaona mbele za Baba yangu, nanyi inawapa kufanya yale mliyosikia kutoka kwa baba yenu.” 1 Yesu Na Abrahamu
John 14:6Yesu akawaambia, “Mimi ndimi njia na kweli na uzima. Mtu hawezi kuja kwa Baba isipokuwa kwa kupitia kwangu.
John 14:26Lakini huyo Msaidizi, yaani, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwenu kwa Jina langu, atawafundisha mambo yote na kuwakumbusha yote niliyowaambia.
Acts 2:17“ ‘Katika siku za mwisho, asema Mungu, 2 nitamimina Roho wangu 2 juu ya wote wenye mwili. 1 Wana wenu na binti zenu watatabiri, 2 vijana wenu wataona maono, 2 na wazee wenu wataota ndoto. 1
Acts 20:23Ila ninachojua tu ni kwamba Roho Mtakatifu amenionya kuwa vifungo na mateso vinaningoja.