John 16:20
Amin, amin nawaambia, ninyi mtalia na kuomboleza, lakini ulimwengu utafurahi. Ninyi mtahuzunika, lakini huzuni yenu itageuka kuwa furaha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 20:5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi, 2 nayo furaha ya wasiomcha Mungu hudumu kwa kitambo tu. 1
Psalms 30:11Uligeuza maombolezo yangu kuwa kucheza, 2 ulinivua nguo za gunia ukanivika shangwe, 1
Psalms 97:11Nuru huangaza wenye haki 2 na furaha kwa watu wanyofu wa moyo. 1
Isaiah 12:1Katika siku ile utasema: 1 “Nitakusifu wewe, Ee Bwana. 2 Ingawa ulinikasirikia, 1 hasira yako imegeukia mbali 2 nawe umenifariji. 1
Isaiah 61:3na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1
Jeremiah 31:9Watakuja wakilia; 2 wataomba wakati ninawarudisha. 1 Nitawaongoza kando ya vijito vya maji 2 katika mapito yaliyo tambarare ambapo hawatajikwaa, 1 kwa sababu mimi ndimi baba wa Israeli, 2 naye Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza. 1