The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 16 › John 16:22

John 16:22

Hivyo ninyi mna maumivu sasa, lakini nitawaona tena, nayo mioyo yenu itafurahi na furaha yenu hakuna awaondoleaye.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And ye now therefore have sorrow: but I will see you again, and your heart shall rejoice, and your joy no man taketh from you.

In Context

21Mwanamke anapokuwa na utungu wa kuzaa huwa na maumivu kwa sababu saa yake imewadia. Lakini mtoto akiisha kuzaliwa, yule mwanamke husahau maumivu hayo kwa sababu ya furaha ya kuzaliwa mtoto ulimwenguni.

23Katika siku hiyo hamtaniuliza neno lolote. Amin, amin nawaambia, kama mkimwomba Baba jambo lolote kwa jina langu, yeye atawapa.

Read all of John 16

Cross References

Psalms 146:2Nitamsifu Bwana maisha yangu yote; 1 nitamwimbia Mungu wangu sifa 2 wakati wote niishipo. 1

Isaiah 25:9Katika siku ile watasema, 2 “Hakika huyu ndiye Mungu wetu; 2 tulimtumaini, naye akatuokoa. 1 Huyu ndiye Bwana, tuliyemtumaini; 2 sisi tushangilie na kufurahia katika wokovu wake.” 1

Isaiah 54:7“Kwa kitambo kidogo nilikuacha, 2 lakini kwa huruma nyingi nitakurudisha. 1

Isaiah 65:18Lakini furahini na kushangilia daima 2 katika hivi nitakavyoumba, 1 kwa kuwa nitaumba Yerusalemu uwe wa kupendeza, 2 nao watu wake wawe furaha. 1

Habakkuk 3:17Ingawa mtini hauchanui maua 2 na hakuna zabibu juu ya mizabibu, 1 ingawaje mzeituni hauzai, 2 na hata mashamba hayatoi chakula, 1 iwapo hakuna kondoo katika banda, 2 wala ngʼombe katika zizi, 1

Luke 10:42Lakini kunahitajika kitu kimoja tu. Maria amechagua kile kilicho bora, wala hakuna mtu atakayemwondolea.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 16:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 16:21John 16John 16:23 →