John 16:26
Siku hiyo mtaomba kwa Jina langu. Wala sitawaambia kwamba nitamwomba Baba kwa ajili yenu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
At that day ye shall ask in my name: and I say not unto you, that I will pray the Father for you:
In Context
Cross References
John 14:16Nami nitamwomba Baba, naye atawapa Msaidizi mwingine akae nanyi milele.
John 17:9Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako.
John 17:24“Baba, shauku yangu ni kwamba, wale ulionipa wawe pamoja nami pale nilipo, ili waweze kuuona utukufu wangu, yaani, utukufu ule ulionipa kwa kuwa ulinipenda hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.