John 16:9
Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of sin, because they believe not on me;
In Context
8Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu.
10kwa habari ya haki, kwa sababu ninakwenda kwa Baba, nanyi hamtaniona tena,
Cross References
Mark 16:16Yeyote aaminiye na kubatizwa ataokoka. Lakini yeyote asiyeamini atahukumiwa.
John 5:40Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.
John 8:42Yesu akawaambia, “Kama Mungu angekuwa Baba yenu, mngenipenda, kwa maana nilitoka kwa Mungu na sasa niko hapa. Sikuja kwa ajili yangu mwenyewe, ila yeye alinituma.
John 15:22Kama sikuja na kusema nao wasingalikuwa na hatia ya dhambi. Lakini sasa hawana udhuru kwa ajili ya dhambi zao.
Acts 3:14Ninyi mlimkataa huyo Mtakatifu na Mwenye Haki mkaomba mpewe yule muuaji.
Acts 26:9“Mimi pia nilikuwa nimeshawishika kwamba imenipasa kufanya yote yale yaliyowezekana kupinga Jina la Yesu wa Nazareti.