John 17:20
“Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Neither pray I for these alone, but for them also which shall believe on me through their word;
In Context
Cross References
Acts 2:41Wale wote waliopokea ujumbe wa Petro kwa furaha wakabatizwa na siku ile waliongezeka watu wapatao 3,000. 1 Ushirika Wa Waumini
Romans 15:18Kwa maana sitathubutu kusema kitu chochote zaidi ya kile ambacho Kristo amefanya kwa kunitumia mimi katika kuwaongoza watu wa Mataifa wamtii Mungu kwa yale niliyosema na kufanya,
Ephesians 4:11Ndiye aliweka wengine kuwa mitume, wengine kuwa manabii, wengine kuwa wainjilisti, wengine kuwa wachungaji na walimu,