John 17:5
Hivyo sasa, Baba, unitukuze mbele zako kwa ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe kabla ulimwengu haujakuwepo. 1 Yesu Awaombea Wanafunzi Wake
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
4Nimekutukuza wewe duniani kwa kuitimiza ile kazi uliyonipa niifanye.
Cross References
Proverbs 8:22“ Bwana aliniumba mwanzoni mwa kazi yake, 2 kabla ya matendo yake ya zamani; 1
John 1:1Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
John 3:13Hakuna mtu yeyote aliyekwenda mbinguni isipokuwa yeye aliyeshuka kutoka mbinguni, yaani, Mwana wa Adamu.
John 10:30Mimi na Baba yangu tu umoja.”
John 17:24“Baba, shauku yangu ni kwamba, wale ulionipa wawe pamoja nami pale nilipo, ili waweze kuuona utukufu wangu, yaani, utukufu ule ulionipa kwa kuwa ulinipenda hata kabla ya kuwekwa misingi ya ulimwengu.
Colossians 1:15Yeye ni mfano wa Mungu asiyeonekana, mzaliwa wa kwanza wa viumbe vyote.