John 18:27
Kwa mara nyingine tena Petro akakana, naye jogoo akawika wakati huo huo. 1 Yesu Apelekwa Kwa Pilato (Mathayo 27:1-2, 11-14; Marko 15:1-5; Luka 23:1-5)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Peter then denied again: and immediately the cock crew.
In Context
Cross References
Matthew 26:74Ndipo Petro akaanza kujilaani na kuwaapia, “Mimi simjui mtu huyo!” Papo hapo jogoo akawika.
Mark 14:68Lakini Petro akakana, akasema, “Sijui wala sielewi unalosema.” Naye akaondoka kuelekea kwenye njia ya kuingilia.
Luke 22:34Yesu akamjibu, “Ninakuambia Petro, kabla jogoo hajawika usiku wa leo, utakana mara tatu kwamba hunijui mimi.” 1 Mfuko, Mkoba Na Upanga
Luke 22:60Petro akajibu, “Wewe mtu, mimi sijui unalosema!” Wakati huo huo, akiwa bado anazungumza, jogoo akawika.