John 18:40
Wao wakapiga kelele wakisema, “Si huyu mtu, bali tufungulie Baraba!” Yule Baraba alikuwa mnyangʼanyi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then cried they all again, saying, Not this man, but Barabbas. Now Barabbas was a robber.
In Context
Cross References
Matthew 27:26Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Marko 15:16-20; Yohana 19:2-3)
Mark 15:15Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Mathayo 27:27-31; Yohana 19:2-3)
Luke 23:25Akamfungua yule mtu aliyekuwa amefungwa gerezani kwa kuhusika katika uasi dhidi ya serikali na mauaji. Akamkabidhi Yesu mikononi mwao, wamfanyie watakavyo. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Marko 15:21-32; Yohana 19:17-27)