The Bible Software
bible.softwareMathayoMathayo 27 › Mathayo 27:26

Mathayo 27:26

Basi akawafungulia Baraba. Lakini baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Marko 15:16-20; Yohana 19:2-3)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then released he Barabbas unto them: and when he had scourged Jesus, he delivered him to be crucified.

In Context

25Watu wote wakajibu, “Damu yake na iwe juu yetu na juu ya watoto wetu!”

27Kisha askari wa mtawala wakampeleka Yesu kwenye Praitorio + 27:27 Praitorio maana yake ni makao makuu ya mtawala, jumba la kifalme lililokuwa linakaliwa na Pontio Pilato huko Yerusalemu, palipokuwa na kiti cha hukumu. na wakakusanya kikosi kizima cha askari kumzunguka.

Read all of Mathayo 27

Cross References

Isaiah 53:5Lakini alitobolewa kwa ajili ya makosa yetu, 2 alichubuliwa kwa ajili ya maovu yetu; 1 adhabu iliyotuletea sisi amani ilikuwa juu yake, 2 na kwa majeraha yake sisi tumepona. 1

Mark 10:34ambao watamdhihaki na kumtemea mate, watampiga na kumuua. Siku tatu baadaye atafufuka.” 1 Ombi La Yakobo Na Yohana (Mathayo 20:20-28)

Luke 18:32Kwa kuwa atatiwa mikononi mwa watu wasiomjua Mungu, nao watamdhihaki, watamtukana na kumtemea mate, watampiga mijeledi na kumuua.

Luke 23:24Kwa hiyo Pilato akatoa hukumu kwamba madai yao yatimizwe.

John 19:16Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Marko 15:21-32; Luka 23:26-43) Kwa hiyo askari wakamchukua Yesu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Mathayo 27:26

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Mathayo 27:25Mathayo 27Mathayo 27:27 →