John 19:16
Ndipo Pilato akamkabidhi Yesu kwao ili wamsulubishe. 1 Kusulubiwa Kwa Yesu (Mathayo 27:32-44; Marko 15:21-32; Luka 23:26-43) Kwa hiyo askari wakamchukua Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Then delivered he him therefore unto them to be crucified. And they took Jesus, and led him away.
In Context
Cross References
Mark 15:15Pilato, akitaka kuuridhisha ule umati wa watu, akawafungulia Baraba. Naye baada ya kuamuru Yesu achapwe mijeledi, akamtoa ili asulubishwe. 1 Askari Wamdhihaki Yesu (Mathayo 27:27-31; Yohana 19:2-3)