John 19:30
Baada ya kuionja hiyo siki, Yesu akasema, “Imekwisha.” Akainamisha kichwa chake, akaitoa roho yake. 1 Yesu Achomwa Mkuki Ubavuni
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”
Isaiah 53:10Lakini yalikuwa ni mapenzi ya Bwana 2 kumchubua na kumsababisha ateseke. 1 Ingawa Bwana amefanya maisha yake 2 kuwa sadaka ya hatia, 1 ataona uzao wake na kuishi siku nyingi, 2 nayo mapenzi ya Bwana yatafanikiwa mkononi mwake. 1
Daniel 9:24“Majuma sabini yameamriwa kwa ajili ya watu wako na kwa ajili ya mji wako mtakatifu, ili kumaliza makosa, kukomesha dhambi, kufanya upatanisho kwa ajili ya uovu, kuleta haki ya milele, kutia muhuri maono na unabii, na pia kumtia mafuta yeye aliye mtakatifu sana.
Zechariah 13:7“Amka, ee upanga, dhidi ya mchungaji wangu, 2 dhidi ya mtu aliye karibu nami!” 2 asema Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1 “Mpige mchungaji, 2 nao kondoo watatawanyika, 1 nami nitageuza mkono wangu 2 dhidi ya walio wadogo, 1
Matthew 20:28kama vile ambavyo Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.” 1 Yesu Awaponya Vipofu Wawili (Marko 10:46-52; Luka 18:35-43)
Mark 15:37Kisha Yesu akatoa sauti kuu, akakata roho.