John 19:33
Lakini walipomkaribia Yesu, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But when they came to Jesus, and saw that he was dead already, they brake not his legs:
In Context
34Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka damu na maji.
Cross References
Exodus 12:46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.
Luke 8:53Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.