The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 8 › Luke 8:53

Luke 8:53

Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And they laughed him to scorn, knowing that she was dead.

In Context

52Wakati ule ule watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili ya huyo binti. Yesu akawaambia, “Acheni kulia. Huyu binti hajafa, ila amelala.”

54Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”

Read all of Luke 8

Cross References

Job 12:4“Nimekuwa mtu wa kuchekwa na rafiki zangu, 2 ingawa nilimwita Mungu naye akanijibu: 1 mimi ni mtu wa kuchekwa tu, 2 ingawa ni mwadilifu na nisiye na hatia! 1

Psalms 22:7Wote wanionao hunidhihaki, 2 hunivurumishia matusi, wakitikisa vichwa vyao: 1

Mark 15:44Pilato alikuwa akijiuliza kama Yesu alikuwa amekwisha kufa. Hivyo akamwita yule jemadari, akamuuliza iwapo Yesu alikuwa amekwisha kufa.

John 11:39Yesu akasema, “Liondoeni hilo jiwe.” Martha ndugu yake yule aliyekuwa amekufa akasema, “Lakini Bwana, wakati huu atakuwa ananuka kwani amekwisha kuwa kaburini siku nne.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 8:53

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 8:52Luke 8Luke 8:54 →