John 19:36
Kwa maana mambo haya yalitukia ili Maandiko yapate kutimia, yale yasemayo, “Hakuna hata mfupa wake mmoja utakaovunjwa.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Exodus 12:46“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.
2 Kings 15:12Kwa hiyo neno la Bwana lililonenwa kwa Yehu likatimia, kwamba, “Wazao wako wataketi juu ya kiti cha enzi cha Israeli hadi kizazi cha nne.” 1 Shalumu Mfalme Wa Israeli
Psalms 34:20huhifadhi mifupa yake yote, 2 hata mmoja hautavunjika. 1
Matthew 1:22Haya yote yalitukia ili litimie lile Bwana alilokuwa amenena kupitia nabii, akisema:
John 19:28Baada ya haya, Yesu hali akijua kuwa mambo yote yamemalizika, alisema ili kutimiza Maandiko, “Naona kiu.”