John 19:37
Tena Andiko lingine lasema, “Watamtazama yeye waliyemchoma.” 1 Maziko Ya Yesu (Mathayo 27:57-61; Marko 15:42-47; Luka 23:50-56)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And again another scripture saith, They shall look on him whom they pierced.
In Context
Cross References
Zechariah 12:10“Nami nitamiminia nyumba ya Daudi na wakazi wa Yerusalemu roho ya neema + 12:10 Au: Roho wa neema. na maombi. Watanitazama mimi, yule waliyemchoma. Nao watamwombolezea kama mtu anayemwombolezea mwanawe wa pekee na kusikitika kwa uchungu kama anayemsikitikia mzaliwa wake wa kwanza wa kiume.