The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 20 › John 20:28

John 20:28

Tomaso akamwambia, “Bwana wangu na Mungu wangu!”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Thomas answered and said unto him, My Lord and my God.

In Context

27Kisha akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa na uone mikono yangu, nyoosha mkono wako uguse ubavuni mwangu. Usiwe na shaka, bali uamini tu.”

29Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.” 1 Kusudi La Kitabu Hiki

Read all of John 20

Cross References

Psalms 45:11Mfalme ameshangazwa na uzuri wako; 2 mheshimu, kwa kuwa yeye ni bwana wako. 1

Psalms 118:24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya, 2 tushangilie na kufurahi ndani yake. 1

Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1

Isaiah 40:9Wewe uletaye habari njema Sayuni, 2 panda juu ya mlima mrefu. 1 Wewe uletaye habari njema Yerusalemu, 2 inua sauti yako kwa kupiga kelele, 2 inua sauti, usiogope; 1 iambie miji ya Yuda, 2 “Yuko hapa Mungu wenu!” 1

Malachi 3:1“Angalieni, nitamtuma mjumbe wangu, atakayeiandaa njia mbele yangu. Ndipo ghafula Bwana mnayemtafuta atakuja hekaluni mwake. Mjumbe wa Agano, ambaye mnamwonea shauku, atakuja,” asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.

Luke 24:52Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 20:28

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 20:27John 20John 20:29 →