Luke 24:52
Kisha wakamwabudu na kurudi Yerusalemu wakiwa wamejawa na furaha kuu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they worshipped him, and returned to Jerusalem with great joy:
In Context
51Alipokuwa anawabariki, akawaacha, akachukuliwa mbinguni.
53Nao wakadumu ndani ya Hekalu wakimtukuza Mungu. Amen.
Cross References
Matthew 28:9Ghafula, Yesu akakutana nao, akasema, “Salamu!” Wale wanawake wakamkaribia, wakaishika miguu yake, wakamwabudu.
John 14:28“Mlinisikia nikisema, ‘Ninakwenda zangu, lakini nitarudi tena.’ Kama kweli mngelinipenda mngelifurahi kwa kuwa naenda kwa Baba, kwani Baba ni mkuu kuniliko mimi.
John 16:22Hivyo ninyi mna maumivu sasa, lakini nitawaona tena, nayo mioyo yenu itafurahi na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
1 Peter 1:8Ingawa hamjamwona, mnampenda; tena ingawa sasa hammwoni, mnamwamini na kujawa na furaha isiyoneneka yenye utukufu usioelezeka.