John 21:10
Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya hao samaki mliovua sasa hivi.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Jesus saith unto them, Bring of the fish which ye have now caught.
In Context
9Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate.
Cross References
Luke 24:41Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?”