Luke 24:41
Wakashindwa kuamini kwa ajili ya furaha na mshangao waliokuwa nao. Akawauliza, “Mna chakula chochote hapa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And while they yet believed not for joy, and wondered, he said unto them, Have ye here any meat?
In Context
40Aliposema haya, akawaonyesha mikono na miguu yake.
42Wakampa kipande cha samaki aliyeokwa,
Cross References
Genesis 45:26Wakamwambia baba yao, “Yosefu angali hai! Ukweli ni kwamba yeye ndiye mtawala wa Misri yote.” Yakobo akapigwa na bumbuazi; hakuwasadiki.
Psalms 126:1Bwana alipowarejeza mateka Sayuni, 2 tulikuwa kama watu walioota ndoto. 1
John 16:22Hivyo ninyi mna maumivu sasa, lakini nitawaona tena, nayo mioyo yenu itafurahi na furaha yenu hakuna awaondoleaye.
John 21:10Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya hao samaki mliovua sasa hivi.”