John 21:4
Mara baada ya kupambazuka, Yesu akasimama ufuoni, lakini wanafunzi hawakumtambua kwamba alikuwa Yesu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
5Yesu akawaambia, “Wanangu, je, mna samaki wowote?” Wakamjibu, “La.”
Cross References
Mark 16:12Baadaye Yesu akawatokea wawili miongoni mwa wanafunzi wake walipokuwa wakienda shambani akiwa katika sura nyingine.
Luke 24:31Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena.