Luka 24:31
Ndipo macho yao yakafumbuliwa, nao wakamtambua, naye akatoweka machoni pao. Hawakumwona tena.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And their eyes were opened, and they knew him; and he vanished out of their sight.
In Context
30Alipokuwa mezani pamoja nao, akachukua mkate, akashukuru, akaumega, akaanza kuwagawia.
Cross References
Luke 24:16lakini macho yao yakazuiliwa ili wasimtambue.
John 20:13Wakamuuliza Maria, “Mwanamke, mbona unalia?” Akawaambia, “Nalia kwa kuwa wamemchukua Bwana wangu na sijui walikomweka.”