The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 3 › John 3:20

John 3:20

Kwa kuwa kila atendaye maovu huchukia nuru, wala haji kwenye nuru ili matendo yake maovu yasifichuliwe.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For every one that doeth evil hateth the light, neither cometh to the light, lest his deeds should be reproved.

In Context

19Hii ndiyo hukumu kwamba: Nuru imekuja ulimwenguni, nao watu wakapenda giza kuliko nuru kwa sababu matendo yao ni maovu.

21Lakini yule aishiye kwa ukweli huja kwenye nuru, ili ionekane wazi kwamba matendo yake yametendeka katika Mungu.” 1 Ushuhuda Wa Yohana Mbatizaji Kuhusu Yesu

Read all of John 3

Cross References

1 Kings 3:20Hivyo akaondoka katikati ya usiku na kumchukua mwanangu kutoka ubavuni pangu wakati mimi mtumishi wako nilipokuwa nimelala. Akamweka kifuani mwake na kumweka mwanawe aliyekufa kifuani mwangu.

Job 24:13“Wako wale wanaoiasi nuru, 2 wasiofahamu njia zake 2 wala hawakai katika mapito yake. 1

Psalms 50:17Unachukia mafundisho yangu 2 na kuyatupa maneno yangu nyuma yako. 1

Proverbs 4:18Njia ya wenye haki ni kama nuru ya kwanza ya mapambazuko, 2 ambayo hungʼaa zaidi na zaidi mpaka mchana mkamilifu. 1

Proverbs 15:12Mwenye mzaha huchukia maonyo; 2 hatataka shauri kwa mwenye hekima. 1

Amos 5:10mnamchukia yule akemeaye mahakamani, 2 na kumdharau yule ambaye husema kweli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 3:20

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 3:19John 3John 3:21 →