John 3:21
Lakini yule aishiye kwa ukweli huja kwenye nuru, ili ionekane wazi kwamba matendo yake yametendeka katika Mungu.” 1 Ushuhuda Wa Yohana Mbatizaji Kuhusu Yesu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 119:80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako, 2 ili nisiaibishwe. 2 Maombi Kwa Ajili Ya Kuokolewa 1
Psalms 139:23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, 2 nijaribu na ujue mawazo yangu. 1
Isaiah 26:12Bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu, 2 yale yote tuliyoweza kuyakamilisha ni wewe uliyetenda kwa ajili yetu. 1
John 1:47Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”
John 15:4Kaeni ndani yangu, nami nikae ndani yenu. Kama vile tawi lisivyoweza kuzaa matunda lisipokaa ndani ya mzabibu, vivyo hivyo ninyi msipokaa ndani yangu hamwezi kuzaa matunda.
1 Corinthians 15:10Lakini kwa neema ya Mungu nimekuwa hivi nilivyo na neema yake kwangu haikuwa kitu bure. Bali nilizidi sana kufanya kazi kuliko mitume wote, lakini haikuwa mimi, bali ni ile neema ya Mungu iliyokuwa pamoja nami.